Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kwamba, zimejiandaa kwa “chochote kitachotokea” na zingali ziko kwenye hali ya “tahadhari kamili”, zikisisitiza kuwa, vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel vya kuanzisha tena vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza havitatoa hakikisho kwa utawala huo dhalimu la kuweza kuwakomboa mateka wake.
Related Posts
Watu 86 waaga dunia katika mlipuko wa lori la mafuta Nigeria
Watuu wasiopungua 86 wameaga dunia katika Jimbo la Niger, nchini Nigeria katika tukio la mlipuko mkubwa wa lori la mafuta.…
Watuu wasiopungua 86 wameaga dunia katika Jimbo la Niger, nchini Nigeria katika tukio la mlipuko mkubwa wa lori la mafuta.…
China yajibu mapigo; yaongeza ushuru wa 84% kwa bidhaa za US
China imesisitiza kuwa “itapambana hadi mwisho” mkabala wa vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na Rais wa Marekani, Donald Trump. Post Views:…
China imesisitiza kuwa “itapambana hadi mwisho” mkabala wa vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na Rais wa Marekani, Donald Trump. Post Views:…

Trump, Orban, Putin: Kwa nini ‘madikteta’ wote wana nia ya amani?
Trump, Orban, Putin: Kwa nini ‘madikteta’ wote wana nia ya amani?Huku shirika la Washinton na Brussels likipenda tu umwagaji damu…
Trump, Orban, Putin: Kwa nini ‘madikteta’ wote wana nia ya amani?Huku shirika la Washinton na Brussels likipenda tu umwagaji damu…