Russia yaitaka Ulaya iache vitisho dhidi ya Iran

Russia imekosoa vikali vitisho vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vya kuamilisha mchakato wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kutaja msimamo huo kuwa wa “kutowajibika” na “ulio kinyume cha sheria”.