Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameulaumu utawala haramu wa Israel kwa kutaka kurejesha uvamizi wake dhidi ya Gaza na kukwepa makubaliano ya usitishaji mapigano, akisisitiza kuwa njia pekee ya kuhakikisha kuachiliwa kwa mateka wa Israel ni kuanza hatua ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano.
Related Posts
Jumuiya za SADC na EAC zataka kusitishwa mapigano Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya nchi za kusini mwa Afrika, SADC wametoa mwito wa…
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya nchi za kusini mwa Afrika, SADC wametoa mwito wa…
Hujuma za waasi mashariki mwa Kongo zimeuwa watu 7,000 mwaka huu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa watu zaidi ya elfu saba wameuawa mwaka huu wakati waasi…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa watu zaidi ya elfu saba wameuawa mwaka huu wakati waasi…
HAMAS haitokwama kwa kuuliwa shahidi viongozi wake
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, عtawala wa Kizayuni…
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, عtawala wa Kizayuni…