Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imetoa onyo kali dhidi uvamizi wa jeshi la utawala ghasibu wa Israel unaoungwa mkono na Marekani katika Ukanda wa Gaza, na kusema imejiandaa kikamilifu kuchukua hatua dhidi ya maslahi ya Marekani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
Related Posts
Mkutano wa kikanda kuhusu mapigano Kongo DR kufanyika leo Dar es Salaam
Tanzania leo Jumatatu, inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kikanda, kufuatilia matukio ya nyanjani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…

Iran, Lebanon, Iraq, Yemen zaanza luteka ya kuwanga mkono Wapalestina Gaza
Vikosi vya Baharini vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) pamoja na vikosi kutoka Lebanon, Iraq na Yemen,…

Warusi wakimbia eneo la mpakani kufuatia madai ya uvamizi wa Ukraine
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…