Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, Filippo Grandi amesema kuwa, uamuzi wa utawala wa Trump huko Marekani wa kusitisha bajeti ya misaada ya kigeni utawaweka maelfu ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya nchini Bangladesh, katika njaa na ukosefu mkubwa zaidi wa usalama.
Related Posts

Hamas, Islamic Jihad wanadai kuhusika na shambulio la Tel Aviv
Hamas, Islamic Jihad wanadai kuhusika na shambulio la Tel Aviv Makundi ya Muqawama wa Palestina ya Hamas na Islamic Jihad…

HAMAS: Tumewalazimisha wavamizi kusimamisha uvamizi na uchokozi wao
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa: Adui Mzayuni ameshindwa kufikia malengo yake na kulazimika kusimamisha uchokozi…

HAMAS: Netanyahu anaongopa akidai vita vitawarejesha mateka wote wakiwa hai
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imemshutumu Waziri Mkuu wa Israel, Benjami Netanyahu kwa “kudanganya familia za [mateka],…