Viongozi wenye mielekeo ya Kimagharibi wa Ukraine waliipa mgongo Russia baada ya matukio ya mwaka 2014 na kuingia madarakani serikali kibaraka kwa Magharibi huko Ukraine kwa himaya na msaada wa pande zote wa nchi za magharibi hususan Marekani na Ulaya; na walitaka nchi hiyo kujiunga na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) na Umoja wa Ulaya (EU) na kukata uhusiano na Russia.
Related Posts
HAMAS: Hadi sasa hakuna makubaliano yoyote kuhusu awamu ya pili ya mazungumzo ya Ghaza
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa, mazungumzo baina yake na utawala wa Kizayauni wa Israel yamesimama…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa, mazungumzo baina yake na utawala wa Kizayauni wa Israel yamesimama…
Waandamanaji wachoma moto nyumba ya mwasisi wa Bangladesh, Sheikh Mujibur Rahman
Kundi kubwa la waandamanaji jana liliharibu na kuchoma makazi ya mwasisi wa Bangladesh, Sheikh Mujibur Rahman huko Dhaka, wakati binti…
Kundi kubwa la waandamanaji jana liliharibu na kuchoma makazi ya mwasisi wa Bangladesh, Sheikh Mujibur Rahman huko Dhaka, wakati binti…
Kiongozi wa Mapinduzi: Muqawama wa kukabiliana na ughasibu, dhulma na uistikbari si wa kumalizika
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu na ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kufanyika mazishi na maziko ya Mwanajihadi…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu na ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kufanyika mazishi na maziko ya Mwanajihadi…