Baraza la majaji katika jimbo la Illinois nchini Marekani limemtia hatiani raia wa nchi hiyo kwa kosa la mauaji na uhalifu wa chuki katika tukio la Oktoba 2023 la kumchoma kisu na kumuua mtoto aliyekuwa na umri wa miaka 6 Mpalestina – Marekani, Wadea Al-Fayoume na kumjeruhi vibaya mama yake, Hanaan Shahin.
Related Posts
Uhuru awahimiza Gen Z kupigania haki zao Kenya
Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta kwa mara ya kwanza amevunja kimya chake kuhusu maandamano ya Gen Z, akiwataka waendelee…
Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta kwa mara ya kwanza amevunja kimya chake kuhusu maandamano ya Gen Z, akiwataka waendelee…
Jeshi la Sudan linachunguza madai ya ukiukaji wa haki za binadamu
Mkuu wa jeshi la Sudan ameunda kamati ya kuchunguza madai ya ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa wakati jeshi lake…
Mkuu wa jeshi la Sudan ameunda kamati ya kuchunguza madai ya ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa wakati jeshi lake…
IOM: Vita vya Sudan vimeongeza idadi ya wakimbizi wa ndani Pembe ya Afrika
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema idadi ya wakimbizi wa ndani (IDP) katika Pembe ya Afrika iliongezeka hadi milioni…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema idadi ya wakimbizi wa ndani (IDP) katika Pembe ya Afrika iliongezeka hadi milioni…