Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesitisha usambazaji wa chakula cha msaada katika kambi ya wakimbizi ya Zamzam nchini Sudan kutokana na kushtadi mapigano kati ya jeshi la serikali na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
Related Posts
Jeshi la Sudan lasonga mbele katika mji mkuu Khartoum na mji wa Bahri
Jeshi la Sudan limetangaza kuwa linaendelea kusonga mbele katika mji mkuu Khartoum na mji wa Bahri ulioko kaskazini mwake, na…
Jeshi la Sudan limetangaza kuwa linaendelea kusonga mbele katika mji mkuu Khartoum na mji wa Bahri ulioko kaskazini mwake, na…
Kuakisiwa ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika vyombo vya habari vya kimataifa; Umma wa Kiislamu usimame dhidi ya jinai za Wazayuni
Ujumbe wa Nowruz wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu hususan matamshi yake kuhusiana na Ukanda wa Gaza, Lebanon, kadhia…
Ujumbe wa Nowruz wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu hususan matamshi yake kuhusiana na Ukanda wa Gaza, Lebanon, kadhia…
Mwanamke anayechukia Waislamu apatikana na hatia ubadhirifu Ufaransa
Mahakama moja nchini Ufaransa jana Jumatatu ilimpata na hatia ya ubadhirifu, Marine Le Pen, aliyekuwa mgombea urais wa Ufaransa kwa…
Mahakama moja nchini Ufaransa jana Jumatatu ilimpata na hatia ya ubadhirifu, Marine Le Pen, aliyekuwa mgombea urais wa Ufaransa kwa…