Imebainika: Ugonjwa “usiojulikana” ulioua makumi ya watu Congo DR ni malaria

Imebainika kuwa vifo vya makumi ya watu na mamia ya visa vilivyozua hofu katika jimbo la Equateur nchini Congo DR vimehusishwa na ugonjwa wa malaria. Awali iliripotiwa kuwa vifo hivyo viimesababishwa na ugonjwa usiojulikana.