Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa zaidi ya wanafunzi 100,000 wamejiandikisha mashuleni katika Ukanda wa Gaza baada ya mwaka mpya wa masomo kuanza Februari 23, na kuashiria kurudi mashuleni wanafunzi baada ya muda mrefu wa kusimamishwa masomo kutokana na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kiziayuni wa Israel dhidi ya watu wa eneo hilo la Palestina.
Related Posts
Uswisi yamchunguza mwanajeshi wa Israel anayetuhumiwa kufanya uhalifu wa kivita Gaza
Uswisi imeanza kufanya uchunguzi wa jinai dhidi ya mwanajeshi Mzayuni anayeishi nchini humo kwa tuhuma za kutenda jinai za kivita…
Uswisi imeanza kufanya uchunguzi wa jinai dhidi ya mwanajeshi Mzayuni anayeishi nchini humo kwa tuhuma za kutenda jinai za kivita…
Shambulio la RSF laua raia wanne na kujeruhi wanane katika mji wa Omdurman, Sudan
Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa, raia wanane wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulizi la mizinga lililofanywa na…
Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa, raia wanane wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulizi la mizinga lililofanywa na…
Maelfu waandamana Washington kupinga sera za uhamiaji za Trump
Maelfu ya watu huko Marekani wamefanya maandamano nje ya Ikulu ya White House mjini Washington DC, kupinga mpango wa Rais…
Maelfu ya watu huko Marekani wamefanya maandamano nje ya Ikulu ya White House mjini Washington DC, kupinga mpango wa Rais…