Katika taarifa yake mpya kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia, Waziri wa Nishati wa serikali ya Marekani, Chris Wright, amesema kutokana na Marekani kuwa kinara katika masuala ya akili mnemba (artificial intelligence) na ili kuwashinda wapinzani katika teknolojia hii, nchi yake inahitaji kusambaza umeme kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika na vya bei nafuu kama vile nishati ya nyuklia.
Related Posts
UN yaonya kuhusu taarifa potofu na matamshi ya chuki dhidi ya wahamiaji Libya
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umeonya kuhusu taarifa potofu za uongo na matamshi ya chuki dhidi ya…
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umeonya kuhusu taarifa potofu za uongo na matamshi ya chuki dhidi ya…

Rais wa Serbia anasema alipokea onyo la mapinduzi kutoka Urusi
Rais wa Serbia anasema alipokea onyo la mapinduzi kutoka UrusiAleksandar Vucic amesema huduma za usalama zinafanyia kazi miongozo iliyotolewa na…
Rais wa Serbia anasema alipokea onyo la mapinduzi kutoka UrusiAleksandar Vucic amesema huduma za usalama zinafanyia kazi miongozo iliyotolewa na…
Ethiopia yaahidi kutumia fursa za biashara huria kutoa fursa zaidi barani Afrika
Waziri wa Biashara na Ushirikiano wa Kikanda wa Ethiopia amesema kuwa, nchi yake ina nia thabiti ya kuhakikisha kunakuwepo utekelezaji…
Waziri wa Biashara na Ushirikiano wa Kikanda wa Ethiopia amesema kuwa, nchi yake ina nia thabiti ya kuhakikisha kunakuwepo utekelezaji…