Rais wa Marekani Donald Trump amesema Ukraine “isahau” kujiunga na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), tamko ambalo ni pigo kwa azma ya muda mrefu ya nchi hiyo ya Ulaya, ambayo iliungwa mkono na Rais wa zamani Joe Biden.
Related Posts
HAMAS: Kuwa na silaha ni haki ya kisheria ya Muqawama na kuachana nazo ni jambo lisilowezekana
Hazem Qassem, msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria matamshi yaliyonasibishwa na kiongozi mwandamizi wa harakati…
Imam Khamenei: Iwapo Wamarekani watafanya uhabithi kwa taifa la Iran, watazabwa kofi kali
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameionya Marekani dhidi ya kutumia lugha ya vitisho dhidi ya Iran.…
Polisi Afrika Kusini wamsaka mtuhumiwa wa uchimbaji madini haramu wa Stilfontein
Jeshi la Polisi la Afrika Kusini (SAPS) limeanzisha msako wa kumsaka kiongozi wa uchimbaji madini kinyume cha sheria anayedaiwa kutoroka…