Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, ujumbe wake umehitimisha ziara yake katika mji mkuu wa Misri Cairo na umefikia makubaliano na wapatanishi ya kutatuliwa ucheleweshaji uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuwaachilia huru wafungwa Wapalestina ambao ilipasa waachiliwe siku ya Jumamosi iliyopita kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya pande hizo mbili.
Related Posts
Sheikh Zakzaky awaenzi watoto wa Mashahidi wa Nigeria, Palestina
Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria aliandaa dhifa ya chakula cha jioni Ijumaa usiku kwa ajili…

‘Subiri ni sehemu ya adhabu’: Hotuba ya kiongozi wa Hezbollah ambayo ilikashifu utawala wa Israel
‘Subiri ni sehemu ya adhabu’: Hotuba ya kiongozi wa Hezbollah ambayo ilikashifu utawala wa Israel Katika hotuba yake ya pili…

Zelensky awashambulia WaMagharibi
Zelensky anashambulia Magharibi Kiongozi wa Ukrain ametoa wito kwa wanaomuunga mkono kuwa na ujasiri katika kuipatia Kiev silaha za masafa…