Naibu waziri mkuu wa Ubelgiji Maxime Prevot amesema “amesikitishwa sana” kuona Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa kutuma ujumbe wazi wa kuunga mkono sheria za kimataifa, na akatoa wito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi za kimataifa za kulinda haki za binadamu na kuwawajibisha wakiukaji wa sheria.
Related Posts
Wanajeshi wa Urusi wanazuia majaribio ya jeshi la Ukraine kuingia katika eneo la Kursk
Wanajeshi wa Urusi wanazuia majaribio ya jeshi la Ukraine kuingia katika eneo la KurskWizara hiyo iliongeza kuwa jeshi la Urusi…
Barabara Ndefu Zaidi ya Chini ya Bahari Duniani Kuunganisha Iran na Qatar
Amiri wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, aliyekuwa ziarani mjini Tehran wiki iliyopita, alisisitiza mpango wa pamoja kati…
IOM: Asilimia 90 ya nyumba za Gaza zimebomolewa
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji limetangaza kuwa, asilimia 90 ya nyumba katika Ukanda wa Gaza zimeharibiwa, na mamia ya maelfu…