Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza kuwa vikosi vya jeshi vikishirikiana na vikosi vingine vya ndani vimewaua wanamgambo wapatao 70 wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab katika operesheni ya mashambulizi viliyotekeleza jana Jumanne katika maeneo kadhaa ya jimbo la Hirshabelle kusini mwa katikati ya nchi hiyo.
Related Posts
Mali: Muungano wa Mataifa ya Sahel umevuruga nguvu za ukoloni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop, amesema kuwa Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES) ulioundwa na Mali,…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop, amesema kuwa Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES) ulioundwa na Mali,…
Jumanne, 25 Februari, 2025
Leo ni Jumanne 26 Shaaban 1446 Hijria sawa na 25 Februari 2025. Post Views: 17
Leo ni Jumanne 26 Shaaban 1446 Hijria sawa na 25 Februari 2025. Post Views: 17
Guterres ahudhuria futari ya Waislamu Warohingya wa Myanmar kwenye kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amefuturu na wakimbizi wa Rohingya walioko kwenye kambi kubwa zaidi ya wakimbizi…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amefuturu na wakimbizi wa Rohingya walioko kwenye kambi kubwa zaidi ya wakimbizi…