Watoto wachanga watano wamefariki dunia katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali katika eneo hilo lililowekewa mzingiro na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuzuiwa kuingizwa misaada ya kibinadamu ikiwemo ya vifaa vya huduma za tiba.
Related Posts
Baraza la Haki la UN lalaani mauaji mapya ya kimbari Gaza
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina…

Madai ya Trump kuhusu maeneo ya nchi nyingine, dhihirisho la ubeberu wa hali ya juu
Hatua isiyo ya kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoa amri ya kubadili jina la “Ghuba ya Mexico”…

Ansarullah ya Yemen: Marekani haina haki ya kuzihukumu nchi zingine
Harakati ya Ansarullah ya Yemen iimetoa radiamali kwa hatua ya Marekani ya kuiweka Yemen katika orodha ya magaidi na kubainisha…