Afisa mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kuwa, hasara iliyopatikana vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vya kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, kutokana na vipigo vya Hizbullah wakati wa vita vya hivi karibuni inakadiriwa kuwa ni karibu shekeli bilioni 9 sawa na dola 2,515,582,638.
Related Posts
Afrika Kusini yapongeza makubaliano ya kusitisha mapigano Ghaza
Serikali ya Afrika Kusini imepongeza makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya Israel na Hamas na kuyataja kuwa ni “hatua…
Serikali ya Afrika Kusini imepongeza makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya Israel na Hamas na kuyataja kuwa ni “hatua…

PAGER NA WALKIE TALKIE
Peja, pia inajulikana kama beeper au bleeper, [1] ni kifaa cha mawasiliano ya simu kisichotumia waya ambacho hupokea na kuonyesha…
Peja, pia inajulikana kama beeper au bleeper, [1] ni kifaa cha mawasiliano ya simu kisichotumia waya ambacho hupokea na kuonyesha…
Onyo la Iran kwa Troika ya Ulaya kwa kukiuka Azimio la Umoja wa Mataifa na JCPOA
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa na Mashirika ya…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa na Mashirika ya…