Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa jamii ya kimataifa inapasa kuushinikiza utawala wa Israel kujiunga na Mkataba Unaozuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT) ili shughuli zake za nyuklia ziwe chini ya usimamizi na ukaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA).
Related Posts
Waasi wa Tuareg: Jeshi la Mali limewaua raia 24 kaskazini mwa nchi
Muungano wa waasi wa Tuareg huko kaskazini mwa Mali umewatuhumu wanajeshi wa nchi hiyo kwa kuwaua raia 24 waliokuwa wakisafiri…
Muungano wa waasi wa Tuareg huko kaskazini mwa Mali umewatuhumu wanajeshi wa nchi hiyo kwa kuwaua raia 24 waliokuwa wakisafiri…
Makumi ya raia wameuawa katika hujuma za US nchini Yemen
Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada…
Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada…
Moscow, Tehran inaongeza ushirikiano kwa kasi, anasema afisa mkuu wa usalama wa Urusi
Moscow, Tehran inaongeza ushirikiano kwa kasi, anasema afisa mkuu wa usalama wa UrusiSergey Shoigu alibaini kuwa pande hizo pia ziligusia…
Moscow, Tehran inaongeza ushirikiano kwa kasi, anasema afisa mkuu wa usalama wa UrusiSergey Shoigu alibaini kuwa pande hizo pia ziligusia…