Harakati ya muqawama ya Hamas imelaani uamuzi wa Israel wa kupanua mashambulizi yake ya kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa kaskazini, ikisema kuwa uchokozi huu unaonesha nia hatari ya utawala wa kikoloni wa Israel kuendelea na vita vyake vya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina.
Related Posts
Watu 20 wapoteza maisha katika ajali ya ndege Sudan Kusini
Kwa akali watu 20 wameaga dunia katika ajali ya ndege iliyotokea leo Jumatano nchini Sudan Kusini. Post Views: 38
Kwa akali watu 20 wameaga dunia katika ajali ya ndege iliyotokea leo Jumatano nchini Sudan Kusini. Post Views: 38
Ubelgiji nayo yatia ulimi puani, yasema: Hatutamkamata Netanyahu
Ubelgiji nayo pia imetangaza kuwa haitotii amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutaka waziri mkuu wa utawala…
Ubelgiji nayo pia imetangaza kuwa haitotii amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutaka waziri mkuu wa utawala…

Lebanon inapoteza kabisa nguvu – kampuni ya nishati
Lebanon inapoteza kabisa nguvu – kampuni ya nishati “Vifaa muhimu” vyote vimepungua baada ya uhaba wa mafuta kuzima mtambo wa…
Lebanon inapoteza kabisa nguvu – kampuni ya nishati “Vifaa muhimu” vyote vimepungua baada ya uhaba wa mafuta kuzima mtambo wa…