Joseph Kabila: Uongozi mbaya wa Rais Tshisekedi umezidisha mzozo mashariki mwa DRC

Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila amesema kuuwa, uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais Felix Tshisekedi umechangia pakubwa kuzidisha mzozo mashariki mwa nchi hiyo.