Sheikh Muhammad Yazbek, Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameongoza Sala ya Maiti ya kusalia miili ya Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Safiyyuddin katika mazishi ya kihistoria yaliyofanyika leo katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
Related Posts
Sera ya Mashariki ya Kati ya Trump katika muhula wa pili wa urais wake itakuwaje?
Rais Donald Trump wa Marekani, amerejea ikulu baada ya miaka minne, akianza rasmi muhula wake wa pili wa urais Jumatatu,…
Rais Donald Trump wa Marekani, amerejea ikulu baada ya miaka minne, akianza rasmi muhula wake wa pili wa urais Jumatatu,…
Jumuiya ya ASEAN na udharura wa kusaidia kutatua mgogoro wa Waislamu wa Rohingya
Sambamba na mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mashhauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Mataifa ya Kusini…
Sambamba na mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mashhauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Mataifa ya Kusini…
Jumatano, 19 Machi, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 18 mwezi wa Ramadhani 1446 Hijria mwafaka na tarehe 19 Machi 2025. Post Views: 9
Leo ni Jumatano tarehe 18 mwezi wa Ramadhani 1446 Hijria mwafaka na tarehe 19 Machi 2025. Post Views: 9