Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu na ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kufanyika mazishi na maziko ya Mwanajihadi mkubwa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Shahidi Sayyid Hashem Safiyyuddin na kusisitiza kuwa: “adui ajue kwamba, Muqawama wa kukabiliana na ughasibu, dhulma na uistikbari si wa kumalizika; na kwa idhini ya Allah utaendelea hadi ufikie lengo ulilokusudia”.
Related Posts
Wamisri wakusanyika mbele ya Kivuko cha Rafah, wakipinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza
Raia wa Misri walikusanyika jana Ijumaa mbele ya kivuko cha mpakani cha Rafah na Ukanda wa Gaza wakipinga pendekezo la…
Raia wa Misri walikusanyika jana Ijumaa mbele ya kivuko cha mpakani cha Rafah na Ukanda wa Gaza wakipinga pendekezo la…
Onyo la Baraza la Ulaya kuhusu matokeo ya vikwazo vya Marekani dhidi ya ICC
Baraza la Ulaya limeonya kuhusu matokeo ya hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye…
Baraza la Ulaya limeonya kuhusu matokeo ya hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye…

Iran: Hezbollah itashambulia shabaha pana zaidi na zaidi ndani kabisa ya Israel
Iran: Hezbollah itagonga shabaha pana zaidi na zaidi za Israel Picha ya video kutoka kwa ndege isiyo na rubani ya…
Iran: Hezbollah itagonga shabaha pana zaidi na zaidi za Israel Picha ya video kutoka kwa ndege isiyo na rubani ya…