Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi leo wanaelekea Beirut kushiriki katika hafla ya mazishi ya kiongozi wa Hizbullah aliyeuawa shahidi, Sayyed Hassan Nasrallah, pamoja na mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Shahidi Sayyid Hashim Safieddine.
Related Posts
Wakenya 1,282, Wanauganda 393 na Watanzania 301 wamo kwenye orodha ya watakaotimuliwa Marekani
Serikali ya Rais mpya wa Marekani Donald Trump imetoa orodha ya wahamiaji wanaotakiwa kuondoka nchini humo huku mpango wa kuwatimua…
Serikali ya Rais mpya wa Marekani Donald Trump imetoa orodha ya wahamiaji wanaotakiwa kuondoka nchini humo huku mpango wa kuwatimua…
Kenya: Suluhisho la kudumu kwa mzozo wa DRC linapaswa kuwa la ndani
Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang’ula, amesema kwamba suluhisho la kudumu kwa mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang’ula, amesema kwamba suluhisho la kudumu kwa mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia…

Jeshi la Israel latangaza vifo vya wanajeshi 4 huko Gaza
Jeshi la Israel latangaza vifo vya wanajeshi 4 huko Gaza Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari Jeshi la Israel…
Jeshi la Israel latangaza vifo vya wanajeshi 4 huko Gaza Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari Jeshi la Israel…