Sayyid Muhammad Mahdi Nasrullah, mwana wa Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon aliyeuawa shahidi amesema katika hotuba ya kuwaalika watu kuhudhuria mazishi ya baba yake kwamba: “kushiriki katika mazishi ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah kutakuwa ni kushiriki katika siku ya kutangaza msimamo wa mtu na kudhihirisha kivitendo mapenzi kwa Shahidi Nasrullah”.
Related Posts

Vikosi vya Urusi vimeharibu vifaru vingine viwili vya Chui vilivyotolewa na nchi za Magharibi
Vikosi vya Urusi vinaharibu mizinga miwili zaidi ya Chui nchini Ukraine – MOD (VIDEO)Silaha hizo zilizotolewa na nchi za Magharibi…
Vikosi vya Urusi vinaharibu mizinga miwili zaidi ya Chui nchini Ukraine – MOD (VIDEO)Silaha hizo zilizotolewa na nchi za Magharibi…
Iran yaionya Israel kutokariri mauaji ya kimbari ya Gaza katika Ukingo wa Magharibi
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitolea wito jamii ya kimataifa kuishurutisha Israel isikariri jinai yake ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitolea wito jamii ya kimataifa kuishurutisha Israel isikariri jinai yake ya…
Hizbullah ya Lebanon: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalibadilisha sura ya historia
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa salamu za kheri na baraka kwa taifa la Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya…
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa salamu za kheri na baraka kwa taifa la Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya…