Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema, lazima dunia isikilize “kile Afrika inachosema” na kuuchukulia wasiwasi ilionao Afrika “kwa uzito”. Wang ameyasema hayo katika hotuba yake mbele ya hadhara ya washiriki wa mkutano wa Kundi la Mataifa 20 (G20) unaofanyika mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Related Posts
Ripoti: Israel inawaua Wapalestina 3 huko Gaza kila baada ya saa 24
Israel imewaua Wapalestina 150 kwa kutumia ndege zisizo na rubani, wadunguaji au njaa kama silaha tangu ilipofikia makubaliano ya kusimamisha…
Nia ya Russia ya kuzidisha uwepo wake barani Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa…
Maiti zazagaa barabarani, hospitali zaelemewa na majeruhi huku mapigano yakishtadi mjini Goma, DRC
Mapigano makali yanaendele kati ya wapiganaji wa M23 na wanajeshi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC katika…