#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Mohamed Mchengerwa, amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji na Majiji, kutenga fedha za mapato ya ndani 10% kwa mujibu wa sheria za nchi, kwa ajili ya kukarabati na kujenga barabara za mitaa ,ili kuwaondolea adha ya miundombinu mibovu wananchi, na atakayeshindwa kutekeleza agizo hilo ajitathimini kama ana sifa za kuendelea kukaa katika nafasi hiyo.
Related Posts
Kukosoa Araghchi “kutochukua hatua” Baraza la Usalama kukabiliana na jinai za Wazayuni dhidi ya Gaza na Lebanon
Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja hatua ya Baraza la Usalama…
Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja hatua ya Baraza la Usalama…
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, Agosti 08, 2024
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, Agosti 08, 2024 Post Views: 33
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, Agosti 08, 2024 Post Views: 33
🔴 Zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura
🔴 Zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura. Je, Wananchi wamehamasika?” Post Views: 31
🔴 Zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura. Je, Wananchi wamehamasika?” Post Views: 31