Jana Alkhamisi, mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa alipata pigo jingine baada ya wanajeshi wake kutimuliwa katika kambi yake pekee ya kijeshi nchini Ivory Coast, magharibi mwa Afrika. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya jana Alkhamisi ya vyombo mbalimbali vya habari.
Related Posts
Nairobi, mwenyeji wa Mkutano wa Ustaarabu wa Iran A/Mashariki
Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya jana Alkhamisi kilikuwa mwenyeji wa mkutano wa Ubalozi wa Iran wenye kaulimbiu inayosema “Kupekua…

Jeshi la Ukraine linakabiliwa na kuanguka – Putin
Jeshi la Ukraine linakabiliwa na kuanguka – PutinUvamizi wa Kiev katika Mkoa wa Kursk umeshindwa kufikia lengo lake na huenda…

Jeshi la Marekani laharibu meli mbili za Houthi katika Bahari Nyekundu
Jeshi la Marekani laharibu meli mbili za Houthi katika Bahari Nyekundu“Katika saa 24 zilizopita, vikosi vya Kamandi Kuu ya Marekani…