Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni amekutana na kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Russia, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Waziri Mkuu wa Tajikistan na Naibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri la Turkmenistan. Mazungumzo haya yamefanyika pambizoni mwa Mkutano wa Tatu wa Kiuchumi wa Eneo la Kaspi hapa mjini Tehran.
Related Posts
Makombora ya Salvos ya Hezbollah yalirushwa katika maeneo ya Israel baada ya mashambulizi ya ‘katili’
Makombora ya Salvos ya Hezbollah yalirushwa katika maeneo ya Israel baada ya mashambulizi ya ‘katili’ Vikosi vya Hizbullah vimerusha makombora…
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine alimfukuza Mykola Oleshchuk kutoka wadhifa wa Kamanda wa Jeshi la Wanahewa.
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine alimfukuza Mykola Oleshchuk kutoka wadhifa wa Kamanda wa Jeshi la Wanahewa. Amri inayolingana, Nambari 600/2024,…
Hizbullah ya Lebanon: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalibadilisha sura ya historia
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa salamu za kheri na baraka kwa taifa la Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya…