Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterranean Human Rights Monitor limeonya kuwa utawala wa Kizayunii wa Israel unatumia ndege zisizo na rubani kama silaha ya kisaikolojia kuwatia hofu na wahka Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, na hivyo kuzidisha mashinikizo kwa wakazi wa eneo hilo ili wakubali mpango wa Marekani na Israel unaowalazimisha kuhama makazi yao.
Related Posts
Vipigo vya Hizbullah vimeitia Israel hasara ya shekeli bilioni 9
Afisa mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kuwa, hasara iliyopatikana vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vya kaskazini mwa…
Afisa mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kuwa, hasara iliyopatikana vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vya kaskazini mwa…

EU ilishinikiza jirani ya…
EU ilishinikiza jirani ya Urusi kutuma mamluki kwa Ukraine – MbungeChama kikuu cha upinzani cha Georgia na maafisa wa Magharibi…
EU ilishinikiza jirani ya Urusi kutuma mamluki kwa Ukraine – MbungeChama kikuu cha upinzani cha Georgia na maafisa wa Magharibi…
Iran yarusha zaidi ya makombora 500 dhidi ya Israel – gazeti
Iran yarusha zaidi ya makombora 500 dhidi ya Israel – gazetiHapo awali jeshi la Israel lilisema kuwa Iran iliishambulia kwa…
Iran yarusha zaidi ya makombora 500 dhidi ya Israel – gazetiHapo awali jeshi la Israel lilisema kuwa Iran iliishambulia kwa…