Wakati mashambulizi ya jeshi katili la utawala haramu wa Israel katika sehemu mbalimbali za Ukingo wa Magharibi yakiendelea kwa siku ya 30 mfululizo, vikosi vya utawala huo ghasibu vimevamia nyumba ya mhubiri wa Msikiti wa Al-Aqsa, Sheikh Ekrima Sabri.
Related Posts
Wakazi wengi wa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu wanataka Netanyahu ajiuzulu
Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni yanaonesha kuwa, Wazayuni walio wengi wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa…

China yaionya Marekani, yaitaka iache kuingilia ushirikiano wake wa kibiashara na Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameionya Marekani kwa kuitaka iache kuingilia ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi…

Jumamosi, 08 Machi, 2025
Leo ni Jumamosi 7 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1446 Hijria mwafaka na 8 Machi 2025 Miladia. Post Views: 15