Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Jamhuri ya Kiislamu inakaribisha kwa mikono miwili kurejeshwa kwa uhusiano wa nchi hii na Sudan, akisisitiza kuwa nchi za Kiislamu zinapaswa kuepuka mivutano na kukata uhusiano baina yao.
Related Posts
Amnesty yataka kuchunguzwa jinai za kivita za Israel nchini Lebanon
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru juu ya mashambulizi ya utawala…

Jibu la Russia kwa vitisho vya Trump dhidi ya BRICS
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa kuhusiana na tishio la Rais Donald Trump wa Marekani la kutoza…

Madaktari wa Upasuaji wa Indonesia washangazwa na usahihi wa roboti za Iran
Roboti za upasuaji aina ya Sina, zinazotengenezwa nchini Iran na kusambazwa katika hospitali za Indonesia kwa madhumuni ya upasuaji, zimewashangaza…