Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekumbusha kuhusu uungaji mkono ulioonyeshwa na nchi za Kiarabu na Kiislamu kwa hatua ya maana iliyochukuliwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC ya kukabiliana na mpango wa pamoja wa Marekani na utawala wa Kizayuni unaolenga kuifuta Palestina, na akabainisha kwamba: “Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuiunga mkono Palestina kwa msimamo thabiti.”
Related Posts
Trump atamka rasmi: Marekani itawahamisha Wapalestina na ‘itaitwaa’ na ‘kuimiliki’ Ghaza
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza hadharani kwamba Marekani itachukua udhibiti wa Ukanda wa Ghaza, na kulijenga upya eneo hilo…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza hadharani kwamba Marekani itachukua udhibiti wa Ukanda wa Ghaza, na kulijenga upya eneo hilo…
Uhuru wa kujieleza kwa mtindo wa Trump; Wanafunzi wa Marekani wanaounga mkono Palestina wanafukuzwa
Rais wa Marekani ametia saini amri ya kufuatilia shughuli za wanafunzi wa vyuo vikuu na kuwafukuza iwapo itagundulika kuwa wanaiunga…
Rais wa Marekani ametia saini amri ya kufuatilia shughuli za wanafunzi wa vyuo vikuu na kuwafukuza iwapo itagundulika kuwa wanaiunga…
Trump aapa kuweka hadharani nyaraka za siri za mauaji ya kina Kennedy na Martin Luther King Jr.
Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameahidi kuweka hadharani nyaraka za serikali zilizoainishwa kuwa za siri zaidi, zinazohusiana na mauaji…
Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameahidi kuweka hadharani nyaraka za serikali zilizoainishwa kuwa za siri zaidi, zinazohusiana na mauaji…