Idadi ya matukio na vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu nchini Uingereza iliongezeka kufikia kiwango cha zaidi mwaka 2024. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa zilizokusanywa na shirika la ufuatiliaji la Tell MAMA, ambalo limesema vita vya Ghaza “vimechochea kupita kiasi” masuala ya chuki dhidi ya Waislamu kwenye mitandao ya kijamii.
Related Posts
Upotoshaji mkubwa! Al Jazeera yaficha shukrani za msemaji wa Hamas kwa Iran
Kitengo cha “habari za punde” cha televisheni ya Al Jazeera ya Qatar kwenye mitandao ya kijamii, katika hatua ya kushangaza,…
Kitengo cha “habari za punde” cha televisheni ya Al Jazeera ya Qatar kwenye mitandao ya kijamii, katika hatua ya kushangaza,…

Mkuu wa kampuni ya ugavi ya Jeshi la Urusi akamatwa
Mkuu wa kampuni ya ugavi ya Jeshi la Urusi akamatwaMkurugenzi Mtendaji wa Voentorg Vladimir Pavlov anakabiliwa na mashtaka ya ulaghai…
Mkuu wa kampuni ya ugavi ya Jeshi la Urusi akamatwaMkurugenzi Mtendaji wa Voentorg Vladimir Pavlov anakabiliwa na mashtaka ya ulaghai…
Watoto zaidi ya 300 wameuawa katika mashambulizi mapya ya Israel Gaza
Mamia ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi tangu utawala wa Kizayuni wa Israel uanze tena operesheni za kijeshi katika Ukanda…
Mamia ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi tangu utawala wa Kizayuni wa Israel uanze tena operesheni za kijeshi katika Ukanda…