Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS Hamas imependekeza kubadilishana mateka wote wa Israel kwa mateka Wapalestina “kwa mpigo” wakati wa awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano Ghaza, kwa lengo la kufikia mapatano ya kudumu na jeshi la utawala wa Kizayuni kuondoka kikamilifu katika eneo hilo.
Related Posts
Google kutumia majasusi wa Israel waliohusika na mauaji ya kimbari ya Gaza
Kampuni ya Google mapema wiki hii ililipa dola bilioni 32 ili kununua kampuni ya Israel ya usalama wa mtandao, Wiz,…
Kampuni ya Google mapema wiki hii ililipa dola bilioni 32 ili kununua kampuni ya Israel ya usalama wa mtandao, Wiz,…
Kujipa Marekani hadhi ya kipekee; mtazamo haribifu wenye madhara kwa dunia na hata kwa Marekani yenyewe
Kujiona Marekani nchi ya kipekee yenye hadhi na ubora kuliko mataifa mengine yote, ni sera ambayo imekuwa na matokeo hasi…
Kujiona Marekani nchi ya kipekee yenye hadhi na ubora kuliko mataifa mengine yote, ni sera ambayo imekuwa na matokeo hasi…
Ripoti: Mzozo wa Sudan unazidi kuwa mbaya zaidi
Kamishna wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk amesema kuwa, mzozo wa kivita unaoendelea nchini Sudan unazidi…
Kamishna wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk amesema kuwa, mzozo wa kivita unaoendelea nchini Sudan unazidi…