Jenerali Abdelfattah El Burhan ameondoa uwezekano wa kufanya mazungumzo na RSF au makundi yenye kuwaunga mkono akidai kuwa ndilo kundi lenye kusababisha mauaji kwa raia wasio na hatia nchini Sudan.
Related Posts

Kukosolewa baadhi ya watetezi wa haki za binadamu kwa kupuuza haki za Wapalestina
Mwanadiplomasia wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelalamikia kimya cha wanaharakati wa haki za binadamu kuhusu wananchi wa Palestina. Muhammad…

Viongozi wa Jumuiya ya SADC kujadili machafuko ya Msumbiji
Viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC wanatarajiwa kukutana mwishoni mwa juma hili, katika mji mkuu wa…

Wanamuqawama wa al Qassam wawaangamiza wanajeshi 15 wa Kizayuni
Brigedi za Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimetangaza kuwa wanamuqawama…