Duru ya Nane ya Mkutano wa Nchi za Bahari ya Hindi chini ya kauli mbiu “Kuelekea Upeo Mpya wa Ushirikiano wa Baharini” imefanyika tarehe 16 na 17 mwezi huu wa Februari huko Oman kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi 20 wanachama. Oman, India na Singapore kwa pamoja zilikuwa wenyeji wa kongamano hilo.
Related Posts
Misri, Saudia zalaani Israel kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Hatua ya Israel ya kuzuia kuingizwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza imelaaniwa na Misri na Saudi Arabia, huku…
Mgogoro mashariki mwa DRC waathiri zaidi ya wanafunzi milioni 1
Kuongezeka kwa mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo waasi wa M23 wameshadidisha mashambulizi dhidi ya vikosi vya…
Wavuvi 20 wa Kenya wauawa na wanamgambo wa Dassanech mpakani na Ethiopia
Zaidi ya wavuvi 20 wameuawa katika eneo la mpaka la Todonyang, kaskazini mwa Kenya, pambizoni mwa Ziwa Turkana katika shambulio…