Muhula wa mwisho uliokuwa umetolewa kwa askari wote wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kusini mwa Lebanon chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya utawala huo na harakati ya Hizbullah ulimalizika leo Jumanne, huku Israel ikitangaza kuwa itaendelea kubaki katika “maeneo matano ya kimkakati” ya ardhi ya nchi hiyo.
Related Posts
Israel imeua zaidi ya Wapalestina 150 tangu usitishaji vita ulipoanza kutekelezwa Ghaza Januari 19
Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Ghaza imetangaza kuwa, zaidi ya Wapalestina 150 wameuliwa…
Mayahudi wa Marekani: Israel imeshindwa katika vita vya Gaza
Zaidi ya asilimia 80 ya jamii ya Wayahudi wa Marekani walioshiriki katika uchunguzi wa maoni wametangaza kuwa, Israel katu haijapata…
Mateka wa Kizayuni: Kwa muda wote walipotushikilia, Al-Qassam waliamiliana nasi kwa wema
Gazeti moja la Kizayuni limemnukuu mateka mmoja Muisrael akisema kuwa Wanamuqawama wa Brigedi za al-Qassam, tawi la kijeshi la harakati…