Vikosi vya Nchi Kavu vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) vimeanza mazoezi makubwa zaidi ya kijeshi kuwahi kushuhudiwa vya kujiweka tayari kwa vita katika eneo la kusini-magharibi mwa nchi, ikiwa ni sehemu ya hatua za kuinua kiwango cha utayari wake wa kivita wa kukabiliana na vitisho vinavyoweza kutolewa na maadui.
Related Posts
Hizbullah: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama
Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama. Post Views: 15
Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama. Post Views: 15
Somalia na Umoja wa Afrika wakubaliana kuhusu wanajeshi watakaojumuishwa katika kikosi kipya
Serikali kuu ya Somalia na Umoja wa Afrika wamekubaliana kuhusu idadi ya wanajeshi kutoka nchi mbalimbali watakaohudumu katika kikosi kipya…
Serikali kuu ya Somalia na Umoja wa Afrika wamekubaliana kuhusu idadi ya wanajeshi kutoka nchi mbalimbali watakaohudumu katika kikosi kipya…
Niger, Mali na Burkina Faso zajiondoa rasmi ECOWAS
Serikali za kijeshi za Niger, Mali na Burkina Faso zimejiondoa rasmi kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS). Post…
Serikali za kijeshi za Niger, Mali na Burkina Faso zimejiondoa rasmi kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS). Post…