Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina , Hamas, imesifu msimamo wa “kiadilifu na jasiri” wa viongozi wa Afrika kuhusu mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, pamoja na upinzani wao mkali dhidi ya kampeni ya kikatili inayoendelea dhidi ya Wapalestina.
Related Posts
Kwa nini Marekani inataka kuwekeza katika sekta ya madini nchini Kongo DR?
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Marekani zinapanga kushirikiana katika mapatano ya kiuchumi na kisiasa. Post Views: 14

Jumatano, tarehe 05 Februari, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 06 Shaabani 1446 Hijria, sawa na Februari 5 mwaka 2025. Post Views: 20

Jeshi la Israel launda kifaa cha AI cha kuwajasisi Wapalestina
Uchunguzi mpya umefichua kuwa, kitengo cha ujasusi wa kielektroniki cha jeshi la Israel cha 8200 kimetumia mkusanyiko mkubwa wa mawasiliano…