Ngumi zapigwa katika mechi ya hoki ya barafu baada ya wimbo wa taifa wa Marekani kuzomewa

Mashabiki wa Marekani na Canada wametwangana ngumi katika mechi ya hoki ya barafu baada ya wimbo wa taiifa wa Marekani kuzomewa.