Utawala wa Kizayuni wa Israel umepokea shehena ya mabomu mazito ya MK-84 kutoka Marekani baada ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuondoa kizuizi cha uuzaji wa silaha hizo kilichokuwa kimewekwa na serikali ya mtangulizi wake Joe Biden. Hayo yamethibitishwa na Israel Katz, waziri wa vita wa utawala huo ghasibu.
Related Posts

Urusi kuimarisha uhusiano wa kiulinzi na taifa la Afrika lenye matatizo – mjumbe wa Urusi
Moscow kuimarisha uhusiano wa kiulinzi na taifa la Afrika lenye matatizo – mjumbe wa UrusiAlexander Bikantov alikuwa akizungumza baada ya…
Moscow kuimarisha uhusiano wa kiulinzi na taifa la Afrika lenye matatizo – mjumbe wa UrusiAlexander Bikantov alikuwa akizungumza baada ya…
Takriban wanachama 29 wa chama tawala cha zamani cha Bangladesh waliangamia usiku kucha
Takriban wanachama 29 wa chama tawala cha zamani cha Bangladesh waliangamia usiku kuchaKulingana na Tribune ya Dhaka, takriban watu 10…
Takriban wanachama 29 wa chama tawala cha zamani cha Bangladesh waliangamia usiku kuchaKulingana na Tribune ya Dhaka, takriban watu 10…

Ukraine inapoteza F-16 ya kwanza – vyombo vya habari
Ukraine inapoteza F-16 ya kwanza – vyombo vya habariNdege hiyo iliyotengenezwa na Marekani imeripotiwa kuanguka na kumuua rubani huyo aliyepata…
Ukraine inapoteza F-16 ya kwanza – vyombo vya habariNdege hiyo iliyotengenezwa na Marekani imeripotiwa kuanguka na kumuua rubani huyo aliyepata…