Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel katika eneo la Ukingo wa Magharibi na kuutaka utawala huo kusitisha mara moja “wimbi la tahadhari ya machafuko na ukimbizi wa umati” kwa raia wa Palestina.
Related Posts
‘Uwanja wa ndege wa Ben Gurion hautakuwa salama mpaka utakapokoma uchokozi dhidi ya Ghaza’
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimetangaza kuwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel sasa hauko salama kwa…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimetangaza kuwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel sasa hauko salama kwa…
Jeshi la Sudan ladhibiti kikamilifu kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta nchini humo
Jeshi la Sudan limeeleza kuwa limechukua udhibiti kamili wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha al Jaili karibu na mji mkuu…
Jeshi la Sudan limeeleza kuwa limechukua udhibiti kamili wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha al Jaili karibu na mji mkuu…

MZOZO WA MWANA MZOZO:MAREKANI ITAMUUA TRUMP KISHA IMSINGIZIE IRAN
Bwana Mizozo taarifa zako ni nzuri na zina vyanzo sahihi na makini ila kuwa makini sana na taarifa za kiintelijensia…
Bwana Mizozo taarifa zako ni nzuri na zina vyanzo sahihi na makini ila kuwa makini sana na taarifa za kiintelijensia…