Kesi 82 za madai ya watu kutoweka nchini Kenya zimeripotiwa tangu Juni 2024

Nchini Kenya watu wanaituhumu polisi ya nchi hiyo kwa kufanya vitendo vya utekaji nyara lakini bado haijathibitishwa ni nani aliyehusika na utekaji huo.