CEO BODI YA LIGI AFUNGUKA ISHU YA URAIA MASTAA SINGIDA BS, USAJILI WAO UPOJE?


PRIME

Mapya yaibuka kwa mastaa Singida BS, Jaji atoa tamko

Mahakama Kuu ya Tanzania, masjala kuu ya Dodoma imeamuru kuitwa kortini wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), ili kujibu madai dhidi yao katika kesi ya kikatiba…