Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limesema, maisha ya watoto na vijana kwa muda mrefu yameunganishwa na intaneti na mitandao ya kijamii na kadri teknolojia inavyoendelea kubadilika kwa kasi jambo hili linaongezeka na kuenea zaidi na kuruhusu watoto kufikia ulimwengu wa habari, kujifunza, kushirikiana, burudani na zaidi inaweza kuwa chanya lakini wakati mwingine kuna hatari.
Related Posts
Watoto wachanga watano wafariki Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali
Watoto wachanga watano wamefariki dunia katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali katika eneo hilo lililowekewa mzingiro…
Watoto wachanga watano wamefariki dunia katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali katika eneo hilo lililowekewa mzingiro…
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (5)
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na…
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na…
Makumi ya raia wameuawa katika hujuma za US nchini Yemen
Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada…
Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada…