AU yatoa mwito wa kutatuliwa changamoto za kibinadamu na afya ya umma barani Afrika

Kamishna wa Umoja wa Afrika (AU) wa Masuala ya Kibinadamu, Afya na Maendeleo ya Kijamii ametoa mwito wa kutafutwa ufumbuzi wa kudumu wa changamoto za afya ya umma na masuala ya kibinadamu barani Afrika.