Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetaja majina ya mateka watatu wa Israel wenye uraia pacha ambao wanatazamiwa kuachiliwa leo kama sehemu ya duru ya sita ya mabadilishano ya mateka chini ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza.
Related Posts
HAMAS waitunishia misuli Israel kwa kutokeza hadharani na bunduki zake walizoteka Oktoba 7, 2023
Katika hatua inayoonekana kuwa ya kuonyesha uwezo wao wa kijeshi na kuutunishia misuli utawala wa Kizayuni wa Israel, wanamapambano wa…
Katika hatua inayoonekana kuwa ya kuonyesha uwezo wao wa kijeshi na kuutunishia misuli utawala wa Kizayuni wa Israel, wanamapambano wa…
Guterres aitaka Israel kusitisha ukiukaji wa azimio nambari 1701 kusini mwa Lebanon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameitaka Israel ikomeshe kukalia kwa mabavu ardhi ya Lebanon na kufanya operesheni…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameitaka Israel ikomeshe kukalia kwa mabavu ardhi ya Lebanon na kufanya operesheni…
Kwa kuhofia ‘Nakba II’, nchi 5 za Kiarabu zaiandikia barua US kupinga mpango wa Trump kuhusu Ghaza
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi tano za Kiarabu na Afisa Mkuu wa Palestina wametangaza kuwa wanapinga pendekezo tata…
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi tano za Kiarabu na Afisa Mkuu wa Palestina wametangaza kuwa wanapinga pendekezo tata…