Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 waripotiwa kuuteka uwanja wa ndege karibu na Bukavu

Hatua hiyo ya waasi inakuja licha ya wito wa kimataifa wa kusitisha mapigano na kuanzishwa tena kwa mazungumzo ya amani.