Migogoro ya Libya na Sudan imetawala siku ya tatu ya vikao vya kabla ta mkutano wa kilele wa viongozi wa Afrika katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, huku makao makuu ya Umoja wa Afrika yakitarajiwa kuandaa hafla ya kutiwa saini mkataba wa maridhiano kati ya pande zinazohusika katika mgogoro wa Libya.
Related Posts
Ijumaa, tarehe 28 Februari, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 29 Shaaban 1446 Hijria sawa 28 Februari 2026. Post Views: 17
Abrams M1A2 ingefanyaje dhidi ya T-90?
Abrams M1A2 ingefanyaje dhidi ya T-90? Kwanza kabisa, jinsi tank inatumiwa ni kama sio muhimu zaidi kuliko uwezo wa kiufundi…
Araghchi: Hakujakuwa na mazungumzo yoyote kati ya Iran na Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza tena kuwa Iran iko tayari kufanya mazungumzo yasiyo ya moja…