Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa Wapalestina, Waarabu, Waislamu na watu huru kote duniani kushiriki katika harakati ya kimataifa siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, ili kupinga mipango ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuwaondoa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kulikalia kwa mabavu eneo hilo.
Related Posts
“Maharamia” warejea kwa nguvu Somalia, wateka nyara meli ya uvuvi
Watu wanaoshukiwa kuwa mo maharamia wameteka nyara meli ya uvuvi iliyokuwa na bendera ya Yemen karibu na Eyl, kaskazini mwa…
Watu wanaoshukiwa kuwa mo maharamia wameteka nyara meli ya uvuvi iliyokuwa na bendera ya Yemen karibu na Eyl, kaskazini mwa…
Maelfu waitaka Ujerumani kujiepusha na mzozo wa Ukraine
Maelfu waitaka Ujerumani kujiepusha na mzozo wa UkraineMaandamano makubwa mjini Munich yametoa wito wa kuwepo kwa amani kati ya Moscow…
Maelfu waitaka Ujerumani kujiepusha na mzozo wa UkraineMaandamano makubwa mjini Munich yametoa wito wa kuwepo kwa amani kati ya Moscow…
Canada kuangalia upya mkataba wa kununua ndege za kivita za Marekani
Waziri Mkuu mpya wa Canada, Mark Carney ametoa amri ya kupitiwa upya mkataba wa nchi hiyo na kampuni ya silaha…
Waziri Mkuu mpya wa Canada, Mark Carney ametoa amri ya kupitiwa upya mkataba wa nchi hiyo na kampuni ya silaha…